"Tazama, naja kama mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake...ufunuo 16:15"

Saturday, September 17, 2016

MAWASILIANO

Kwa mawasiliano;

Ndugu.  DEVIS JULIUS,
Ndugu.  DENIS JULIUS.

S. L. P. 10478, Arusha.
Tanzania.

email. watakatifuwasikuzamwisho@gmail.com.
devisjulius@gmail.com


+255789001312
+ 255655571792

Dar es salaam. Ukonga- Mombasa.

Kama utakuwa na ushuhuda na atapenda pia kutushirikisha tuuweke kwa faida ya watu wengine kwa dhumuni la kujengana unaweza akawasiliana nasi kwa namba/email   hapo juu. au maswali au maoni yeyote au maombi tupo wakati wote ili kushirikishana neno la Mungu. Blogu hii haipo kwa dhumuni la kuishutumu imani ya mtu yeyote, ila kuitangaza kweli ya Mungu na neema ya Bwana wetu Yesu Kristo katika neno lake. Hatujafika bado tunajifunza kila siku na tunaendelea kujifunza hivyo kama kuna jambo lolote unaona linaweza kutujenga sisi kama ndugu katika Bwana. tunakukaribisha sana uwe huru kutushirikisha, ili tuwashirikishe na wengine. Mwisho wa yote kama kuna lugha yoyote iliyotumika au jambo lolote ambalo halijakupendeza au limekukwaza jua tu hatujakusudia kufanya hivyo, tuwie radhi dhumuni letu ni kujenga na sio kubomoa,

Asante kwa kutembelea Blogu yetu. .

 Mungu akubariki sana..





No comments:

Post a Comment

BWANA YESU KRISTO.

BWANA YESU KRISTO.
Bwana wetu YESU KRISTO, ndiye Mungu wetu, tunampenda sana.