"Tazama, naja kama mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake...ufunuo 16:15"

Thursday, December 22, 2016

MIAKA 7 YA NEEMA


Ujumbe aliopewa dada Nnenna huko Nigeria juu ya kanisa, alipochukuliwa juu na Bwana YESU KRISTO katika maono alipokuwa kanisani na  kupewa ujumbe huu wa kipekee, kwamba kanisa limepewa miaka 7 ya neema ya marejesho, ambayo itaanza kuanzia mwaka 2014-2021, baada ya hapo Bwana alimwambia lolote linaweza likatokea. yapo mambo mengi aliyopewa kulionya kanisa duniani kote, katika ujumbe huu aliambiwa matetemeko yaliyozoeleka kusikika mataifa ya mashariki sasa yanahamia mataifa ya Afrika katika mwaka 2016/2017.Bwana alimwambia kabla hajarudi mara ya pili ana jambo la kufanya na wakristo walioko Afrika...Na mambo mengine mengi tazama video hii, hakika hutatoka kama ulivyokuwa. Mungu akubariki!. 
video hii ina subtitle ya kiswahili.


No comments:

Post a Comment