"Tazama, naja kama mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake...ufunuo 16:15"

Saturday, May 18, 2019

SEMINA!! SEMINA!! SEMINA!!

KWA NEEMA ZA BWANA, TUNAPENDA KUWAALIKA WATU WOTE KATIKA SEMINA YA NENO LA MUNGU! ITAKAYOFANYIKA RUVU, DARAJANI (KIBAHA)..SEMINA HII NI SEMINA YA UREJESHO NA ITAFANYIKA KWA SIKU 6 ( KUANZIA JUNE 20-JUNI 25).BWANA AMEANDAA KITU KIZURI NA CHA KIPEKEE SANA KWA AJILI YAKO NA YANGU NDIO MAANA UMEKUTANA NA TANGAZO HILI LEO...

ATAKAYEHUDUMU ATAKUWA NI MCH. MOSES ALU, KUTOKA LAGOS, NIGERIA.
ATAAKUWA NA WATUMISHI WENZAKE WENGINE (MANABII) WATAKAOHUDUMU PAMOJA NAYE. WENYE MAGONJWA NA VIFUNGO MBALI MBALI WATAFUNGULIWA KWA JINA LA YESU!!..KWA SABABU HAKUNA LINALOSHINDIKANA KWAKE!!

UONAPO TANGAZO HILI MTAARIFU NA MWINGINE, NA ZAIDI YA YOTE, JITAHIDI UJISALIJI HARAKA. ILI MAMBO YOTE YATENDEKE KWA UZURI NA UTARATIBU!! JIANDIKISHE KWA WANA KAMATI WETU! MAWASILIANO YAPO CHINI. (1 Wakorintho 14:40)

(PASTOR MOSES ALU)

KWA SWALI AU KWA USAJILI TAFADHALI WASILIANA NASI KWA NAMBA HIZI..

  ''0762 129 233 AU 0715 129 233''
Ndg. EPIMACK DAMAS NKUNGU

(PASTOR MOSES ALU)

 BWANA YESU   KRISTO AKUBARIKI SANAAA MTU WA MUNGU!!!

No comments:

Post a Comment