"Tazama, naja kama mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake...ufunuo 16:15"

Thursday, November 28, 2019

UJENZI ULIOISHIA KATIKATI

Zaburi 127:1 "Bwana asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. Bwana asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure."

WAPO WALIOUJENGA MJI..UKAISHIA KATIKATI! WALIOUJENGA MNARA WA BABELI WALIISHIA KATIKATI. HAWAKUMALIZIA!!


JENGA MAISHA YAKO JUU YA MWAMBA (YESU KRISTO) ILI YASIISHIE KATIKATI, WAPO WALIOJENGA AFYA ZAO NJE YA YESU KRISTO NA YAKAISHIA KATIKATI, WAPO WALIOJENGA MAISHA YAO JUU YA MALI NA YAKAISHIA KATIKATI..

BWANA ATUPE HEKIMA KATIKA UJENZI WA MAISHA YETU.

SHALOM

No comments:

Post a Comment