"Tazama, naja kama mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake...ufunuo 16:15"

Saturday, September 17, 2016

SAFARI YA MSAFIRI- KISWAHILI

Filamu ambayo wengi wanaifahamu, yenye ujumbe mzuri unaomfaa Mkristo yeyote ambaye yuko katika safari yake ya kwenda mbinguni. kama biblia inavyosema (2 petro 2:11..wapenzi nawasihi kama WAPITAJI NA WASAFIRI ziepukeni tamaa za mwili zipiganazo na roho, muwe na mwenendo mzuri katika mataifa ili iwapo huwasingizia kuwa watenda mabaya,wayatazamapo matendo yenu mazuri, wamtukuze Mungu siku ya kujiliwa.)

4 comments:

  1. Nawezaje kupata kitabu hiki? Nakumbuka niliwai kukisoma zamani sana wakati nilikuwa bado mdogo. Tafadhali naomba mnielekeze niwezapo kukipata. Asanteni

    ReplyDelete
  2. Kitabu hiki takipata wapi

    ReplyDelete

BWANA YESU KRISTO.

BWANA YESU KRISTO.
Bwana wetu YESU KRISTO, ndiye Mungu wetu, tunampenda sana.