"Tazama, naja kama mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake...ufunuo 16:15"

Monday, September 19, 2016

WAKRISTO KATIKA DHIKI.Ona jinsi wakristo wa kwanza walivyopitia dhiki nyingi katika kuipigania imani, chini ya utawala wa kipagani wa rumi. wakristo waliliwa na simba, walisulibishwa, walitiwa magerezani, walichomwa moto, waliburutwa, wakubwa kwa wadogo wazee kwa vijana, waume kwa wake kwa ajili ya kuisimamia imani.
Kizazi hiki chetu kibaya kimezungukwa na wingu hili lote la mashahidi.

TUTAWEZAJE KUPONA TUSIPOUTHAMINI WOKOVU MKUU NAMNA HII?

MARAN ATHA.

No comments:

Post a Comment