"Tazama, naja kama mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake...ufunuo 16:15"

Sunday, January 1, 2017

HERI YA MWAKA MPYA 2017"Tunawatakia heri ya mwaka mpya 2017 wakristo wote ulimwenguni, ni matumaini yetu utakuwa ni mwaka wa neema, baraka na amani, nasi tunakuombea  Mungu Mwaka huu 2017 uzidi kubarikiwa na kufanikiwa katika imani kwa jina la YESU KRISTO."

No comments:

Post a Comment