"Tazama, naja kama mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake...ufunuo 16:15"

Saturday, October 21, 2017

              Nukuu za ndugu William Branham.                                                                                               

" Kaka au Dada, kama Yesu aliomba kwa bidii, inatupasaye sisi kuomba kwa bidii?. Kama Kristo, Mungu wa mbinguni aliyeuva mwili aliomba kwa bidii, je! inatupasaje sisi wenye dhambi tunaookolewa kwa neema,? omba kwa bidii..kama ule uamuzi ulimfanya mwana wa Mungu kukata tamaa, itakuwaje mimi na wewe? tunapaswa tulie hasaa! 

 (Ujumbe : Kukata tamaa 63-0901      UK 28) William Marrion Branham"Mtu hawezi kuwa katika hali yake ya kawaida mpaka awe amezaliwa mara ya pili. Katika moyo wake ni mnyama mpaka atakapokuwa amezaliwa na Roho wa Mungu, Hapo roho ya asili itakapoondolewa na kuruhusu Roho ya Mungu kuingia na kutawala, ambayo itamwongoza na kumpeleka katika nuru na kuijua kweli yote. Hiyo ni sawa. Na kama mtu hatafanya hivyo, na asipojua ya kuwa amefungwa na malango ya kuzimu, kuna shida ndani yake.


(Ujumbe : Why 60-0309)" 
William Marrion Branham

1 comment:

  1. Great article and a nice way to promote online. I’m satisfied with the information that you provided William Marrion Branham

    ReplyDelete